LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 15, 2019

LAINI ZA SIMU KUSAJILIWA UPYA KUANZI MEI MOSI MWAKA HUU


Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kushirikiana na watoa huduma za mawasiliano ya simu wanakutangazia kuwa, kuanzia Tarehe 1 MEI, 2019 watumiaji wote wa simu za mkononi ambao hawajasajili laini zao kwa kutumia mfumo wa alama za vidole wanatakiwa kusajili UPYA laini zao.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages