Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Samson Job Kibonde, baba mzazi wa Mtangazaji wa Cloud FM, Ephraim Kibonde alipokwenda kutoa pole kwa familia, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, leo, Machi 8, 2019. Wapili kulia ni Mkurugenzi wa Clouds Media, Joseph Kusaga.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimfariji Hilda Samson Kibonde ambaye ni mama mzazi wa Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde, alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa familia ya marehemu, Mbezi Beach jijini Dar es salaam, leo, Machi 8, 2019. Katikati ni baba mzazi wa marehemu, Samson Job Kibonde. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇