LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 30, 2019

WAZIRI LUGOLA ATOA ONYO KWA JESHI LA POLISI

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola, ametoa onyo kwa polisi na watu ambao wanasimamia sheria kuhusu suala mla rushwa. Waziri Lugola amesema uchunguzi ambao ulikuwa unafanywa na watu aliowaagiza tayari umeshakamilika na ripoti ipo mezani kwake.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages