LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 18, 2019

TCRA YAKANUSHA TAARIFA INAYO KATAZA KUTAJA MAJINA YA VIONGOZI KWA UTANI

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekanusha taarifa iliyosambaa mtandaoni ambayo ilidai kuwa kutaja jina la kiongozi yeyote kwa utani kupitia sms faini yake ni Tsh. Milioni 5 au jela miaka mitatu. 


TCRA imewataka wananchi kupuuzia taarifa hiyo ambayo inaonekana hapo chini.
Taarifa hii inayosambazwa mitandaoni haijatolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Ni tango pori na Mamlaka inafwatilia aliyetunga na kuisambaza.
91 people are talking about this

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages