LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 7, 2019

RAIS KAGAME WA RWANDA AWASILI NCHINI NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS DK. MAGUFULI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

 Rais Dk. John Magufuli akimkaribisha Rais wa Rwanda Paul Kagame, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.
 Rais Dk. John Magufuli akimkaribisha ndani Rais wa Rwanda Paul Kagame, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.
 Rais wa Rwanda  Paul Kagame akipokea zawadi ya picha ya Mlima Kilimanjaro wakati akipewa na mwenyeji wake Rais Dk. John Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.
 Rais wa Rwanda  Paul Kagame akimpa zawadi ya picha mwenyeji wake Rais Dk. John Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.
Rais Dk. John Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Rwanda  Paul Kagame kabla ya mazungumzo yao, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages