LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 31, 2019

KIKWETE AWAASA WAZAZI KUWA NA UPENDO


Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt. Jakaya Kikwete, amesema kuwa suala la ugonjwa wa 'USONJI' ni la kawaida kwa watu wote duniani, na sio ugonjwa wa masikini pekee au jamii fulani tu, kwani hata mjukuu wake anatatizo hilo

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages