LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 31, 2019

KATIBU MKUU JUMUIYA YA WAZAZI ERASTO SIMA AWASILI MJINI SUMBAWANGA TAYARI KWA UZINDUZI WA WIKI YA JUMUIYA HIYO KITAIFA, KESHO

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Erasto Sima akivishwa skafu baada ya kuwasili Kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Rukwa iliyopo mjini Sumbawanga, leo, tayari kuzindua Wiki ya Jumuiya hiyo, uzinduzi utakaofanyika Wilayani Mkasi, kesho. Akizungumza na wana CCM na Wananchi kwa Jumla waliokusanyika kwenye Ofisi hiyo ya CCM, Sima amewataka wananchi kumuunga mkono Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli ili kuhakikisha juhudi anazofanya kuinua uchumi wa taifa zinazaa matunda makubwa zaidi. Picha na Bashir Nkoromo/PICHA ZAIDI ZA ZIARA HIYO> BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages