Waziri wa Fedha na Mipango Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa na Viongozi wengine wakishuhudia Utiaji Saini Mradi wa Ujenzi Jengo la Kisonge lililopo Michenzani hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo mjini Zanizbar.
Mkurugenzi Mwendeshaji ZSSF Sabra Issa Machano (kushoto)akitiliana saini na Msaidizi Meneja Mkuu wa Kampuni ya Group Six International ltd Fang Xiaokai Mradi wa Ujenzi Jengo la Kisonge lililopo Michenzani hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo mjini Zanizbar.
Picha inapatikana pia kwenye Wikicommons:[[File:Sabra Issa Salim Machano.jpg|thumb|Mkurugenzi Mwendeshaji ZSSF Sabra Issa Machano (kushoto)akitiliana saini na Msaidizi Meneja Mkuu wa Kampuni ya Group Six International ltd Fang Xiaokai]]
ReplyDelete