Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Prof. Andrew Pembe (aliye vaa miwani) katika picha ya pamoja na wafanyakazi wanawake wa Chuo hicho wakati akiwaasa na kusema.
Mwanamke wakati wowote ndio yupo mbele katika maendeleo ya kifamilia ya jamii pamoja na ya Nchi, Mimi ningependa kwenda lakini nimeambiwa wanaume hatutakiwi kwenda lakini kilicho nifurahisha niwaambi bila kuwaficha.
Nimeona mlivyo jitayarisha na ambavyo mkotayari kwenda kuiwakilisha MUHAS, Nimeona kile mnachokifanya na nitategemea kwamba kila mwaka tutaendelea wote kwa pamoja kuhakikisha kwamba siku hii tuna ifurahia kama ambavyo watuwote wakiifurahia Duniani asanteni sana sana
Wauguzi wanawake wa Taasisi ya Mifupa (MOI) katika picha ya pamoja eneo la Mlimani City wakiwa wanajipanga kuanza maandamano kuingia ndani ya ukumbi
Wauguzi wanawake wa Taasisi ya Mifupa (MOI) katika picha ya pamoja eneo la Mlimani City wakiwa wanajipanga kuanza maandamano kuingia ndani ya ukumbi
Wauguzi wanawake wa Hospitali ya Taifa Muhimbili katika picha ya pamoja eneo la Mlimani City wakiwa wanajiandaa kuanza maandamano kuingia ndani ya ukumbi
Wanawake wa Brela Jengo la Ushirika Dar es Salaam lililopo Mnazi Mmoja wakiingi ndani katika ukumbi wa Mlimani City wakati siku ya Wanawake Duniani ambapo mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda
Wauguzi wanawake wa Taasisi ya Mifupa (MOI) wanogesha Siku ya Wanawake Duniani eneo la Mlimani City wakiwa wanajipanga kuanza maandamano kuingia ndani ya ukumbi
Wauguzi wanawake Taasisi ya Tiba ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) wakipita mbele ya mgeni rasmi ambapo alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda eneo la Mlimani City
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Wenye Ulemavu, Mhe. Stella Ikupa (mbele kushoto) akifuatilia jambo wakati Mkuu wa Mkoa alipokuwa akizungumza na Wanawake
Your Ad Spot
Mar 8, 2019
Home
Unlabelled
DAR YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE DUNIANI
DAR YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE DUNIANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇