MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk, Ali Mohamed Shein (wa pili kulia), akiwahutubia Wanachama wa CCM wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika ukumbi wa Hoteli ya Lagema Nungwi akiwa katika ziara yake
VIONGOZI na Wanachama wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pochani), alipo kuwa akiwahutubia katika ukumbi wa Hoteli ya Lagema Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja, akiwa katika ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo.
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk, Ali Mohamed Shein (wakwanza kulia), akiwahutubia Wanachama wa CCM wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika ukumbi wa Hoteli ya Lagema Nungwi , akiwa katika ziara yake
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kaskazini Unguja Ndg. Iddi Ali Ame (kulia), akizungumza katika Mkutano huo na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika ukumbi wa Hoteli ya Lagema Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja,(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇