LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 1, 2019

WAZIRI MKUU MAJALIWA AREJEA DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi  (watatu kulia), Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Bilinith Mahenge (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini, (TAA), Bw. Richard Mayongela kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma wakati aliporejea jijini humo leo Februari 1, 2019 baada ya kumuwakilisha Rais, Dkt. John Magufuli katika mazishi ya mke wa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary bin Zubeir yaliyofanyika katika kijiji cha Kwamndolwa wilayani Korogwe, Tanga, Januari 31, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amerejea jijini Dodoma leo Februari 1, 2019 baada ya kumuwakilisha Rais, Dkt. John Magufuli katika mazishi ya mke wa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary bin Zubeir yaliyofanyika katika kijiji cha Kwamndolwa wilayani Korogwe, Tanga, Januari 31, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages