Mkaguzi wa Jeshi la Polisi, Joseph Adolf akizungumza jana Dar es Salaam na wafanya Biashara ndogondogo waliokuwa wakifanya biashara zao katika kituo cha DART cha Gerezani ambao wametakiwa kupisha ujenzi wa miundombinu inayotarajiwa kuanza hivi karibuni.
Mwenyekiti wa wafanya Biashara ndododogo, Paul Anthony akizungumza na wafanya Biashara ndogondogo jana akiwapa taarifa aliyoipata toka kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema
Makamu Mwenyekiti wa wafanya Biashara ndogondogo, Mussa Juma akiwaonyesha majina ya waliokuwa wakijishughulisha na biashara ndani ya Kituo cha Daladala cha Mwendo kasi (DART) , nakuwaomba wafanya biashara hao kuwa na utulivu wakati wa mabadiliko ya kupisha ujenzi wa miundombinu unao tarajiwa kuanza hivi karibuni
Kituo cha Daladala (DART) cha Gerezani
Wafanya Biashara wa matunza wakiondoka katika kituo cha Gerezani cha Daladala baada ya kukuta hakuna watu
Wafanya Biashara wa viatu wakiwa katika Barabara ya Lindi baada ya kuondolewa kituo cha Daladala cha Gerezani, ambapo kila pea wakiuza kati ya 2500, 7000 na 8000
Mfanya Biashara ya matunda katika lango la kuingilia magari ya nayoingia na kutoka katika paking ya (DART) akiwa na mteja wake kulia akimuuzia matunda ambapo kila kontena anauza Sh. 1000.
Daladala za Mbagala Rangi Tatu zikiwa katika kituo kipya cha Machinga Compex
Daladala yenye namba za Usajili T 378 BZW ikigeuza baaya ya kushusha abiria katika kituo kipya walicho pangiwa
Baadhi ya wafanya Biashara wakikosa eneo la kufanya biashara zao wakiwa bado hawajui nini hatma yao PICHA ZOTE NA KHAMIS MUSSA
Your Ad Spot
Feb 10, 2019
Home
Unlabelled
WAFANYA BIASHARA KATIKA KITUO CHA DART CHA GEREZANI WAOMBA KUPANGIWA SEHEM RAFIKI KWAO
WAFANYA BIASHARA KATIKA KITUO CHA DART CHA GEREZANI WAOMBA KUPANGIWA SEHEM RAFIKI KWAO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇