LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 3, 2019

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN, AZUNGUMZA NA WAZIRI WA KILIMO NA MUSUALA YA ARDHI WA MISRI IKULU ZANZIBAR, LEO

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Kilimo na Masuala ya Ardhi wa Jamuhuri ya Kiarabu wa Watu wa Misri Dk. Ezzaldin Abusteit, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzi, akiongozana na Ujumbe wake na kulia Balozi wa Misri Nchini Tanzania Mhe. Gaber Mohamed.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Waziri wa Kilimo na Masuala ya Ardhi wa Jamuhuri ya Kiaranu ya Watu wa Misri Dkt. Ezzaldin .O. Abusteit, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar. Anayefuata Balozi wa Misri Nchini Tanzania Gaber Mohamed.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages