LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 20, 2019

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AWASILI KISIWANI PEMBA JIONI LEO KUAZA ZIARA YAKE YA KISERIKALI KESHO

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman Abdallah,alipowasili Uwanja wa Ndege wa Abeid Karume Chakechake Kisiwani Pemba leo jioni, kwa ajili ya Ziara yake ya Kiserikali inayotarajiwa kuaza kesho kutembelea Miradi mbalimbali ya Maendeleo.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Serikali na Wananchi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Karume Chakechake Pemba, leo jioni  kwa ajili ya ziara yake ya Kiserikali kwa Mikoa miwili ya Kusini na Kaskazini Pemba inayotarajiwa kuaza kesho.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages