LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 6, 2019

(UVCCM) CHUO CHA MWALIMU NYERERE WAFANYA MAOMBI MAALUM YA SALA KWA MAMA WA RAIS MAGUFULI

 Katibu Mwenezi na mlezi wa Vyuo na Vyuo Vikuu, Humprey Polepole akizungumza na Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Tawi la Chuo cha Kumbumumbu ya Mwalimu Nyerere , (hawapo pichani), wakati wa Darasa la Itikadi  lililo fanyika katika ukumbi wa chuo hicho Dar es Salaam leo Januari 6, 2019 na kuvuna wanachama 350 wakimuunga mkono Mh, Rais Magufuli kwa kazi anayoifanya sambamba na kumuombea Sala maalum mama wa Rais magufuli. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Tawi la Chuo cha Kumbumumbu ya Mwalimu Nyerere , wafanya maombi maalum kwa mama wa Rais Magufuli wakati wa Darasa la Itikadi  lililo fanyika katika ukumbi wa chuo hicho Dar es Salaa leo  Januari 6, 2019 ambapo mgeni rasmi alikuwa, Katibu Mwenezi na mlezi wa Vyuo na Vyuo Vikuu, Humprey Polepole (hayupo pichani) ambapo katika darasa hilo limevuna wanachama 350 wakimuunga mokono, Rais Magufuli kwa uchapakazi wake ndani ya miaka mitatu kwa mambo anayo yafanya
 Mwenyekiti wa Serikali y Mtaa wa Feri Juma Mwingamno akizungumza jambo wakati wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Tawi la Chuo cha Kumbumumbu ya Mwalimu Nyerere , walipofanya maombi maalum kwa mama wa Rais Magufuli sambamba na  Darasa la Itikadi  lililo fanyika katika ukumbi wa chuo hicho Dar es Salaam leo  Januari 6, 2019 ambapo mgeni rasmi alikuwa, Katibu Mwenezi na mlezi wa Vyuo na Vyuo Vikuu, Humprey Polepole (hyupo pichani) ambapo katika darasa hilo limevuna wanachama 350 wakimuunga mkono Mh. Rais magufuli
Baadhi Vijana wa (UVCCM) wakijisajili


Katibu Mwenezi na mlezi wa Vyuo na Vyuo Vikuu, Humprey Polepole akisalimiana na Mwenyekiti wa (UVCCM) Kata ya Mabibo Wilaya ya Ubungo, Vaileth Soka mara alipowasili katika eneo la Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere wakati wa Darasa la Itikadi  lililo fanyika ukumbi wa chuo hicho Dar es Salaam leo Januari 6, 2019 na kuvuna wanachama 350 wakimuunga mkono Mh, Rais Magufuli kwa kazi anayoifanya sambamba na kumuombea Sala maalum mama wa Rais magufuli 
Katibu Mwenezi na mlezi wa Vyuo na Vyuo Vikuu, Humprey Polepole akisalimiana na Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Kigamboni, Agnes Seng'unda mara alipowasili katika eneo la Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere wakati wa Darasa la Itikadi  lililo fanyika ukumbi wa chuo hicho Dar es Salaam leo Januari 6, 2019 na kuvuna wanachama 350 wakimuunga mkono Mh, Rais Magufuli kwa kazi anayoifanya sambamba na kumuombea Sala maalum mama wa Rais magufuli. kulia ni Mwenyekiti  (UVCCM), Tawi la Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Wilaya ya Kigamboni, Arif Fazel






Katibu HamasaTawi l Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere na Spika wa Bunge la Asha Nyoni ambaye alikuwa muongozaji wa Shughuli hiyo akizungumza jambo 






Afisa Vijana Manispaa ya Kigamboni Veronica Kiluvia akitoa Elimu ya Asilimia10% za mikopo, 4% wanawake 4% wanaume, vigezo vya kupata mikopo ni kwa vikundi vilivyo sajiliwa
Katibu Mwenezi na mlezi wa Vyuo na Vyuo Vikuu, Humprey Polepole (kushoto) akizungumza jambo na Vijana wa (UVCCM) katika eneo la Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere wakati wa Darasa la Itikadi  lililo fanyika ukumbi wa chuo hicho Dar es Salaam leo Januari 6, 2019 na kuvuna wanachama 350 wakimuunga mkono Mh, Rais Magufuli kwa kazi anayoifanya sambamba na kumuombea Sala maalum mama wa Rais magufuli 


Katibu Mwenezi na mlezi wa Vyuo na Vyuo Vikuu, Humprey Polepole (kulia) akizungumza jambo na Vijana wa (UVCCM) katika eneo la Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere wakati wa Darasa la Itikadi  lililo fanyika ukumbi wa chuo hicho Dar es Salaam leo Januari 6, 2019 na kuvuna wanachama 350 wakimuunga mkono Mh, Rais Magufuli kwa kazi anayoifanya sambamba na kumuombea Sala maalum mama wa Rais magufuli 

Katibu Mwenezi na mlezi wa Vyuo na Vyuo Vikuu, Humprey Polepole (kushoto) akimkabidhi kadi mmoja wa  Vijana wa (UVCCM) katika eneo la Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere wakati wa Darasa la Itikadi  lililo fanyika ukumbi wa chuo hicho Dar es Salaam leo Januari 6, 2019 na kuvuna wanachama 350 wakimuunga mkono Mh, Rais Magufuli kwa kazi anayoifanya sambamba na kumuombea Sala maalum mama wa Rais magufuli 

Katibu Mwenezi na mlezi wa Vyuo na Vyuo Vikuu, Humprey Polepole (kushoto) akimkabidhi kadi mmoja wa  Vijana wa (UVCCM) katika eneo la Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere wakati wa Darasa la Itikadi  lililo fanyika ukumbi wa chuo hicho Dar es Salaam leo Januari 6, 2019 na kuvuna wanachama 350 wakimuunga mkono Mh, Rais Magufuli kwa kazi anayoifanya sambamba na kumuombea Sala maalum mama wa Rais magufuli 


Katibu Mwenezi na mlezi wa Vyuo na Vyuo Vikuu, Humprey Polepole (kushoto) akimpokea Alexandar Buteyeye aliyeamua kukihama chama cha CHADEMA na kujiunga na (CCM) wakati wa Darasa la Itikadi  lililo fanyika ukumbi wa chuo hicho Dar es Salaam leo Januari 6, 2019 na kuvuna wanachama 350 wakimuunga mkono Mh, Rais Magufuli kwa kazi anayoifanya sambamba na kumuombea Sala maalum mama wa Rais magufuli 
Baadhi ya viongozi wakila kiapo cha utii, kuanzia kushoto ni  Mjumbe kamati ya utekelezaji (UVCCM) Wilaya ya Kigamboni, MohamedSelemani,  Mwenyekiti Chipukizi Wilaya ya Kigamboni, Neema Said (11), anaye soma Darasa la 7A Shule ya Msingi Diamond na kulia ni Mwenyekiti wa (UVCCM) Kata ya Mabibo Wilaya ya Ubungo, Vaileth Soka
Wakil kiapo 
Katibu Mwenezi na mlezi wa Vyuo na Vyuo Vikuu, Humprey Polepole (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti Chipukizi Wilaya ya Kigamboni, Neema Said (11), anaye soma Darasa la 7A Shule ya Msingi Diamond  mara alipowasili katika eneo la Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere wakati wa Darasa la Itikadi  lililo fanyika ukumbi wa chuo hicho Dar es Salaam leo Januari 6, 2019 na kuvuna wanachama 350 wakimuunga mkono Mh, Rais Magufuli kwa kazi anayoifanya sambamba na kumuombea Sala maalum mama wa Rais magufuli 

Mhadhiri wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu nyerere na Mlezi wa (UVCCM) wa Chuo hicho, Evariet Mkandara akizungumza jambo wakati wa Darasa la Itikadi  lililo fanyika ukumbi wa chuo hicho Dar es Salaam leo Januari 6, 2019 na kuvuna wanachama 350 wakimuunga mkono Mh, Rais Magufuli kwa kazi anayoifanya sambamba na kumuombea Sala maalum mama wa Rais magufuli 





Mwenyekiti wa (UVCCM), Tawi la Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Wilaya ya Kigamboni, Arif Fazel akizungumza jambo kabl y kufungua kikao mara Katibu Mwenezi na mlezi wa Vyuo na Vyuo Vikuu, Humprey Polepole (katikati) alipo wasili katika eneo la Chuo hicho. kushoto ni Katibu wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar es Salaam, Erick Kibada 







Katibu Mwenezi na mlezi wa Vyuo na Vyuo Vikuu, Humprey Polepole katika picha ya pamoja





































No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages