LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 25, 2019

JKCI NA SHIRIKA LA HLH LA UINGEREZA WAFANIKISHA UPASUAJI WA KUFUNGUA KIFUA KWA WATOTO NANE WENYE MATATIZO YA MOYO

Madaktari bingwa wa upasuaji wa kufungua kifua kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimfanyia upasuaji mtoto ambaye mishipa yake ya damu safi na damu chafu imekinzana kwa kushirikiana na madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo kutoka Shirika la Healing Little Heart la nchini Uingereza wakati wa kambi maalum ya upasuaji wa kufungua kifua kwa watoto waliozaliwa na matatizo ya moyo katika Taasisi hiyo. Jumla ya watoto nane wenye matatizo ya moyo ya kuzaliwa nayo wamefanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua katika kambi hiyo na hali zao zinaendelea vizuri.(PICHA NA JKCI)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages