Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akishirikiana na familia anapenda kutowa asante kwa viongozi mbalimbali, marafiki na ndugu na jamaa na makundi ya Group ya Whatsap, kwa kuweza kumfariji yeye na familia nzima katika kufanikisha maandalizi ya mazishi kwa kipindi chote tangu kuondokewa na Dada yake mkubwa, Amina Mtemvu kilichotokea 12, Desemba 2018 huko Abidjan na mwili kufanikisha kuupumzisha katika makazi yake ya milele Januari 19, 2019. katika makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, "alisema".-
Mungu azidi kuwaongezea pale walipotoa na awajaliye kuwa na moyo huo wa kujitoa, asanteni sana Mungu awabariki.
Amina Mtemvu enzi ya uhai wake. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇