LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 30, 2019

BUNGENI JIJINI DODOMA, LEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Mwibara, Kangi  Lugola, Bungeni jijini Dodoma, Januari 30, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kulia) akizungumza na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde, Bungeni jijini Dodoma, Januari 30, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages