Imam wa Msikiti wa Raudhwa uliopo Mtaa wa Lumumba Mwanza Hussein Maftaha akizungumza na mwandishi wa habari hivi karibuni. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA).
Imamu wa Msikiti wa Msikiti wa Raudhwa uliopo Barabara ya Lumumba Mwanza alianza kwa kumshukuru Mungu na kuwapongeza viongozi mbalimbali wa Serikali Mkoa wa Mwanza japo wote sinto wataja majina ila nianze na OCD, ARCO na RPC na vilevile na waumini wa msikiti huu wa Raudhwa kwa kweli niwatu ambao ni wavumilivu yale ambayo ninayo waelekeza basi wanayatekeleza lakini nani ambaye anayetaka kuvuruga amani?.
Anaye taka kuvuruga amani si Imamu wala soi waumini bali anayetaka kuvuruga ni huyu Abdalla Khani kwa sababu anaweza akasababisha vurugu lakini kutokana na mimi na waumini wangu walivyo kwa lile ambalo ninalowaambia waumini wanalitekeleza.
Mgogoro huu wa Msikiti wa Raudhwa niwasiku nyingi lakini kadiri siku zinavyo enda ndio kadiri Serikali au vyombo vya dola vinakuwa vinatambua haki ipo wapi na batwill ipo wapi kwa hiyo hata Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakary Zuberi Bin Ally naye anatusaidia Sana na Waziri wa Mambo ya ndani Kangi Lugola na wasaidizi wake.
Kwakweli wanatusaidia sana sana nimtu ambaye Abdalla Khani miaka ishirini mapato na matumizi hajaja kuwaambia waumini na si hayo tuu, hata zile posho ambazo wanahitajika wahudumu wa msikiti wapewe vilevile ameziziwia kwa mfano kuna siku za nyuma mimi nilikuwa nimefata posho yangu kwake pale basi baada ya kufuata ile posho kumbe alinirikodi kwa kurusha katika mitanda ya kijamii kutaka kunidhalilisha.
Sasa kitendo kile kikapelekea mimi kuona huyu mtu ninamuheshimu na kwanini kanifanyi vitu kama hivi? kwa hiyo vyombo vya Serikali kupitia Waziri wa Mambo ya ndani na Waziri wa katiba, tunawashukuru sana na vilevile tunamshukuru Mhe. Rais Magufuli , Waziri Mkuu na Makamu wa Rais mama Samia Suluhu kwa kweli wanasema mnyonge mnyongeni hakiyake mpeni.
Hizi nimali ya ambazo asili ya Wamanyema, maana yake Bakwata imeanza kwenye 67 wakati Msikiti wa Raudhwa na mmiliki ambaye aliyekabidhiwa wakati huo alikuwa Sheikh, Amiry Maftaha kipindi hicho miaka hiyo angeliweza kuzibadilisha hizi mali akawapa watoto wake.
Lakini hembu angalia uchamungu wa Sheikh Amiry Maftaha mali hizi akazikabidhi tena kwa waumini na baada ya Bakwata na kwa nini asitoe mali hizi kuzipeleka Bakwata,
kwa sababu wakfu ukisha elekeza mahala basi panakuwa hapo hapo kwa sababu hizi ni mali ya Mungu na wale walio wanao ongoza niwajibu kufata kama wakfu ulivyo elekezwa kwa makusudi ya mlengwa alivyo elekeza.
Takribani miaka kumi tunatatizo katika Msikiti wa Raudhwa na Kunyimwa posho kwa waongoza Ibada kutokana na uongozi wa Bodi ya wadhamini ambao walijipa mamlaka ambayo siyo yao kwakusema kwamba wao ndio wamiliki halali wa msikiti na malizake, lakini baadaye Serikali katika kufatilia ikagundua kwamba si hivyo kuwa wao ni wasimamizi tu wa mali hiyo.
Katika kufatilia hatimaye tulifikia hatua ya Serikali ikaamua kufuta Bodi ya Wadhamini wa Raudhwa naikaelekeza Bakwata wasimamie shughuli zote za hapo kwa muda ili uandaliwe uchaguzi hapo wa kuchagua viongozi baadae wakabidhiwe hiyo mali hiyo Msikiti wa Raudhwa uliopo Barabara ya Lumumba Nyamagana Mwanza.
Lalini cha ajabu Bakwata hao Mkoa kutokana na tamaa za baadhi ya viongozi na wenyewe wakaona wamefika pale walipokuwa wanataka wafike na wakaamua kwa makusudi mazima kuungana na huyo muumini mmoja aliyekuwa amebaki katika bodi hiyo (jina lihifadhi), kwakutaka kuhodhi mali hiyo na kupotosha maana zima ya utaratibu wa Serikali.
Kwa hiyo wakajikuta Bakwata Mkoa wanaingia akiwemo Kaimu Sheikh wa Mkoa wanaingia katika mgogoro ule ambao wale tuliokuwa na huyo, huyo, Abdallah Mohamed Khan wakaanza kupambana na Bakwata ikiwemo kuanza kuwasingizia baadhi ya waumini kwa kuwa bambikizia kesi mbalimbali ambyo ikapelekea Imamu wetu juzi akaj akakamatwa kupelekwa Polisi kwa madai ya uongo.
Lakini tunaishukuru Serikali kwa kupitia kwa Waziri wa Sheria na Katiba pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani ambao wanalishughulikia kwa karibu swala hili ili kulipatia ufumbuzi na mpaka wakatoa maagizo Lita waangaliye sheria inawaelekeza nini ilikutatua tatizo la hapo Raudhwa.
Lakini kunabaadhi ya viongozi Bakwata Mkoa Mwanza ndio imekuwa swala hili kuwa lao kwa sababu wanashirikiana na huyo, Abdallah Mohamed Khan kwakutaka kupotosha maana nzima ya tatizo la Raudhwa, ionekane kwamba Raudhwa haikuwa Taasisi ila Raudhwa ilikuwa kama vile tunasema ni Tawi au ni kijisehemu katika Taasisi ya Bakwata.
Wakati Raudhwa ilijisajili kwa kupitia Bakwata na ikapata baraka zote za Bakwata mpaka ikawa inatambulika Serikalini kama Raudhwa na imekwisha tokea Misikiti mingi kufutwa ikiwemo msikiti wa Mabatini hapo lakini cha ajabu Bakwata walikuwepo hawakwenda pale kutaka kuchukuwa huo msikiti na hapa Raudhwa sijui kuna nini mpaka viongozi wanang'ang'ania huku lazima liwalo na liwe lazima tuutwaye.
Tunashindwa kuelewa na Raudhwa anayesabababisha mgogoro na matatizo makubwa ni Huyo kwani baba yake mdogo alikuwa katika wale wafadhili wa msikiti ambao ndiye walijitolea kujenga msikiti huo.
Baba yake Mdogo yeye hajishughulishi na yeye anang'ang'ania kama mrithi wa mali hiyo sasa tunashangaa lini wakfu ukarithiwa?.
Pia anayedaiwa kuwa mmiliki wa Msikiti huo, alipo tafutwa kwa njia ya mawasilkiano ya Simu iliita bila kupokelewa ili kupata ukweli wa undani zaidi.
Pichani ni jengo linalo milikiwa na Msikitin huo wa Raudhwa
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇