Afisa Muuguzi Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Happy Msemwa (kulia) akuzungumza jambo na Jane Mathias (30) mkazi wa Sinza aliyejifungua mtoto wa kiume usiku wa Desemba 25, 2018, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).
Jane Mathias (30), akimnyonyesha mtoto wake, Noel Alphonce mara baada ya kujifungua katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa njia ya kawaida akifurahi na kumshukuru Mungu. "alisema"
Nina kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kuniwezesha kumpata mtoto wa Kiume kwa njia ya kawaida na nipende kuwashukuru Madaktari na wauguzi kwa huduma zao nzuri.
Mkunga katika mafunzo taraji Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Shukuru Siame akimpatia huduma, Asina Mkumba (29) mkazi wa Mbezi kwa Msuguri ambaye alijifungua mtoto wa kiume kwa njia ya upasuaji katika Hospitalini hapo na kuzungumza na Muuguzi Mwandamizi Idara ya akina mama na watoto wachanga wa Hospitali hiyo, Mariam Mlawa "alisema"
Nashukuru Mungu watoto waliozaliwa katika usiku wa kuamkia mkesha wa Krismas Desemba 25, 2018, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ni watano.
Kati ya hao wamama wawili walijifungu kwa nji ya upasuaji na akina mama watatu walijifungua kwa njia ya kawaida. watoto hao watano kati yao walizaliwa kwa njia ya upasuaji ni wawili, wakiume na wakike na kwanji ya kawaida wakike wawili na wakiume mmoja halizao kwa ujumla zinaendelea vizuri.
Katika Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala, Muuguzi wa zam ambaye hakupenda kutaja jina lake "alisema"
Watoto waliozaliwa mkesha wa kuamkia Desemba 25, 2018, ni Kumi na mbili, wakiume Tisa na Wakike 3 kati ya hao ni mapacha
Afisa Muuguzi Msaidizi Hospitali ya Rufaa Temeke, Hadija Kamote (kulia) akimwelekeza jambo, Aisha Saiboko mkazi wa Maji Matitu Mbagala aliyejifungua kwa njia ya upasuaji usiku wa kuamkia mkesha wa Krismas katika Hospitali hiyo ambapo alijifungua mtoto wa kiume.
Afisa Muuguzi Msaidizi Hospitali ya Rufaa Temeke, Hadija Kamote (kulia) akimsaidia, Arafa Juma (27) kumuelekeza jinsi ya ubebaji mara atakapokuwa akiwanyonyesha watoto wake ambao walizaliwa katika mkesha wa kuamkia Desemba 25, 2018. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Your Ad Spot
Dec 25, 2018
Home
Unlabelled
WATOTO WALIO ZALIWA MKESHA WA KRISMAS HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI, MWANANYAMALA NA TEMEKE
WATOTO WALIO ZALIWA MKESHA WA KRISMAS HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI, MWANANYAMALA NA TEMEKE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇