Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi alipomtembelea hospitalini jijini Dar es Salaam alikolazwa akipatiwa matibabu Desemba 5, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi alipomtembelea kumjulia hali Jijini Dar es Salaam.Disemba 5,2018. wa katikati ni Bi Sitti Mwinyi Mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi alipomtembelea kumjulia hali Rais Mstaafu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakiomba Dua Maalumu na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe.Ali Hassan Mwinyi, Bi. Sitti Mwinyi (Mke wa Mzee Mwinyi) pamoja na Abdullah Mwinyi (Mtoto wa Mzee Mwinyi) alipomtembelea kumjulia hali Jijini Dar es Salaam.Disemba 5,2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Bi Sitti Mwinyi Mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe.Ali Hassan Mwinyi alipomtembelea kumjulia hali Rais Mstaafu Jijini Dar es Salaam.(PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇