LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 12, 2018

NAIBU MWANASHERIA MKUU AZINDUA KAMATI YA UKAGUZI WA NDANI

Naibu Mwanasheria Mkuu wa  Serikali Dkt. Evaristo Longopa akizindua Kamati mpya ya Ukaguzi wa Ndani katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Katika uzinduzi huo Dkt. Longopa amesema Kamati hiyo haitangiliwa katika utekelezaji wa Majukumu yake. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati Bw. Waziri Kipacha kutoka Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi. Kamati.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages