Mwenyekiti wa (TUGHE) Tawi la Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Mziwanda Chimwege (kushoto) akizungumza na wanachama wa chama hicho (pichani hawapo), katika Mkutano Mkuu wa Mwaka 2018, Dar es Salaam, kulia ni Katibu (TUGHE) Mkoa Ilala, Tabu Mambo. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Mwenyekiti wa (TUGHE) Tawi la Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Mziwanda Chimwege alianza kwa kusema, Namshukuru Mungu kwa hapa tulipofikia nipazuri na ninawaomba tuweze kushirikiana mawazo "alisema" Chimwege
Wakati alipokuwa akitoa taarifa ya mapato na matumizi ya mwaka 2017-2018, na taarifa ya utendaji kazi wa mwaka mmoja wa 2017-2018 na kuipitisha Bajeti ya 2019.
Ambapo katika taarifa zake ameunga mkono uwamuzi wa Serikali juu ya kufuta Kikokoto kipya
Wanachama wakimsikiliza Mwenyekiti wa (TUGHE) Tawi la Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Mziwanda Chimwege (picha hayupo) wakati alipokuwa akizungumza nao
Your Ad Spot
Dec 29, 2018
Home
Unlabelled
MWENYEKITI TUGHE MUHIMBILI AUNGA MKONO UWAMUZI WA SERIKALI KUFUTA KIKOKOTO KIPYA
MWENYEKITI TUGHE MUHIMBILI AUNGA MKONO UWAMUZI WA SERIKALI KUFUTA KIKOKOTO KIPYA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇