LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 11, 2018

MABALOZI NI MSINGI WA CHAMA CHA MAPINDUZI

Katibu UWT (W), Mgeni Msafiri akiwasalimia wajumbe mara alipofika kujitambulisha Katika kata ya Vijibweni Kigamboni Dar es Salaam jana . (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Vijibweni, Shabani Dololo akizungumza jambo kabla ya kufunguliwa kikao.  "alisema".

Mh. Mweyeki,  Mgeni rasmi ambaye ni mlezi wa kata ya vijibweni, ameomba kukutana na matawi yote ya kata ya vijibweni, na anapenda kujuwa kero na changamoto na kuweza kijipanga katika chaguzi zijazo.

Mh. Mweyekiti utawaongoza wajumbe wetu kwa maana ya kuelezea kero zao ndani ya matawi ili tukitoka hapa kazi ianze mara moja.

Mwenyekiti huu si wakati wa kuangaliana usoni, huu wakati ni wakati wa kufanya kazi, kwa hiyo atakaye kiona Chama cha Mapinduzi kinamkera nibora kuondoka na ukawa mwepesi wa kusema kama Chama kinakukera nibora uikae pembe ili mwenye atakayeona kinamfurahisha aje tuweze kufanya naye kazi.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Vijibweni, Boniface Mwegoha (katikati) akizungumza jambo wakati akamribisha mgeni rasmi katika hafla hiyo na kupata nafasi ya kufungu kikao hicho. kulia ni Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Vijibweni,  Shabani Dololo na Katibu UWT (W), Mgeni Msafiri .


Wajumbe wakimsikiliza Mgeni rasmi 
Katibu UWT (W), Mgeni Msafiri akizungumza na wajumbe wa Chama cha Mapinduzi wakati wa ziara yake ya kujitambulisha Katika kata ya Vijibweni Kigamboni Dar es Salaam jana. ambapo alianza kwa "kusema"

Migogoro isiyokuwa ya lazima ndani ya Chama chetu tuiondoe ilikukijenga chama kwa hiyo migogoro haina ulazima, migogoro ya ardhi hatuna ardhi ila niyakwetu wenyewe, migogoro ya chama na Serikali, tuna maafisa utendaji, tuna maafisa maendeleo katika Kata zetu, je, tupo nao sawa? sasa naomba tuzungumze kwa pamoja mambo yetu kwa pamoja
Mabalozi wakiinu mikono mara Katibu UWT (W), Mgeni Msafiri alipotaka kujuwa idadi ya waliohudhuria 

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages