LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 28, 2018

MTOTO AMARISSA-LIZY (1-3) APATA UBATIZO KATIKA KATISA LA KKKT MUHIMBILI (MNH)

 Amarissa-Lizy Mtenga (1-3) akiwa katika pozi kabla ya kupata Ubatizo katika Kanisa la KKKT lililopo Hospitali ya Taifa Muhimbili
 Amarissa-Lizy Mtenga (1-3) akiwa amebebwa na mama yake mzazi, Gaudencia Mtenga mara baada ya kupata Ubatizo katika Kanisa la KKKT Muhimbili (MNH) Dar es Salaam.


Amarissa-Lizy Mtenga (1-3) akiwa katika picha ya pamoja na Baba yake Arnold Mtenga na mama yake Gaudencia Mtenga

Wazazi wa Amarissa-Lizy Mtenga (1-3) katika picha ya pamoja, Arnold Mtenga na Gaudencia Mtenga


  Mchungaji, Upendo Ngao (kulia) wa Kanisa la KKKT,  lililopo Hospitali ya Taifa Muhimbili akimbatiza, Amarissa-Lizy Mtenga (1-3) kati ya watoto wawili waliopata Ubatizo huo na mtu mzima mmoja, kuanzia kushoto ni Mwinjilist, Elidaima Msuya na Wasimamizi, Langeni Mdeme na Glory Mchome


Kwaya Kuu ya Kanisa la KKKT Hospitali ya Taifa Muhimbili wakiongoza Ibada hiyo kwa wimbo wakati wa Ibada ya Ubatizo ilipokuwa ikiendelea
Mwinjilist, Elidaima Msuya akizungumza jambo wakati wa Ibada ya Ubatizo ilipokuwa ikiendelea katika Kanisa la KKKT lililopo Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Dar es Salaam
Amarissa-Lizy Mtenga (1-3) akisaidiwa kutoa Sadaka na mama yake mzazi, Gaudencia Mtenga mara baada ya kupata Ubatizo katika Kanisa la KKKT lilipo Hospitali ya Taifa  Muhimbili (MNH) Dar es Salaam.

Mchungaji, Upendo Ngao (katikati) wa Kanisa la KKKT  lililopo Hospitali ya Taifa Muhimbili akiwa katika picha ya pamoja na familia ya Arnold Mtenga (aliyevaa koti)


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages