LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 12, 2018

MABASI YA MWENDOKASI DAR YAZUSHA TAFRANI BAADA YA KUPATA HITILAFU





 Mama ambaye jina lake (halikupatikana maramoja) akimpokea mtoto wake baada ya Basi la mwendokasi la mbele kupata hitilafu eneo la Jangwani Dar es Salaam jana. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

 Abiria akitaremka kutoka kati ya mabasi yaliokuwa yamekwama kuendelea na safari baaya ya basi la mbele kupata hitilafu kwa muda na baadae yaliendelea na safari baada ya mafundi kufika eneo hilo la Jangwani. 




 Abiria wakiingia katika Basi lililokuwa likielekea Morocco likipita katika njia isiyo rasmi baada ya basi lililokuwa mbele kupata hitilafu kwa muda na baadae yaliweza kuendelea na safari 






No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages