LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 9, 2018

SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akipeana mikono na Balozi wa China Nchini Tanzania Mheshimiwa Wang  Ke alipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa China Nchini Tanzania Mheshimiwa Wang Ke alipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na Balozi wa China Nchini Tanzania Mheshimiwa Wang Ke aliyemtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Balozi wa China nchini Tanzania Mheshimiwa Wang  Ke akiwa katika Picha ya pamoja na Wabunge ambao ni wajumbe wa Chama cha urafiki wa kibunge baina ya Bunge la Tanzania na nchi ya China alipokutana nao Novemba 8, 2018 Bungeni Jijini Dodoma.

Balozi wa China nchini Tanzania Mheshimiwa Wang  Ke (katikati)akizungumza na Wabunge ambao ni baadhi ya wajumbe wa Chama cha Urafiki wa Kibunge baina ya Bunge la Tanzania na Nchi ya China alipokutana nao Bungeni Jijini Dodoma.

Balozi wa China nchini Tanzania Mheshimiwa Wang  Ke (kulia)akizungumza na Wabunge ambao ni baadhi ya wajumbe wa Chama cha Urafiki wa Kibunge baina ya Bunge la Tanzania na Nchi ya China alipokutana nao  Bungeni Jijini Dodoma.(PICHA NA OFISI YA BUNGE).

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages