LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 13, 2018

SPIKA WA BUNGE APOKEA MSAADA KWA AJILI YA HOSPITALI YA KONGWA

 Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akipokea mojawapo ya Mashine  maalum ya kuwasaidia watoto wanaozaliwa kabla ya kufikisha miezi tisa iliyotolewa na Benki ya Diamond Tust kwa Hospitali ya Wilaya ya Kongwa hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge)
 Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai  akisikiliza maelezo kutoka kwa mwanzilishi wa Taasisi ya Doris Mollel Foundation Ndg. Doris Mollel kuhusiana na picha inayoonyesha mtoto aliyezaliwa kabla ya muda wake. Taasisi hiyo ikishirikiana na Benki ya Diamond Trust walitoa msaada wa  Mashine  maalum ya kuwasaidia watoto wanaozaliwa kabla ya kufikisha miezi tisa kwa Hospitali ya Wilaya ya Kongwa hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai  akitoa shukrani kwa Benki ya Diamond Tust mbele ya Waandishi wa Habari mara baada ya kupokea  Mashine  maalum ya kuwasaidia watoto wanaozaliwa kabla ya kufikisha miezi tisa iliyotolewa na Benki hiyo kwa Hospitali ya Wilaya ya Kongwa hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge) 

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages