LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 5, 2018

SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI KILICHOFANYIKA LEO TAREHE 5 NOVEMBA 2018 KATIKA OFISI YA BUNGE JIJINI DODOMA.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akisisitiza jambo wakati wa kikao cha kamati ya Uongozi kilicholenga kujadili na kupokea Shughuli za Mkutano wa kumi na Tatu wa Bunge pamoja na Mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano, Pia Kupokea hati ya dharura ya Muswada wa Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha wa Mwaka 2018 (The Microfinance Bill, 2018); kilichofanyika leo tarehe 5 Novemba 2018 katika ukumbi wa Spika Jijini Dodoma. Wa kwanza kulia ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson na Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (wa pili kulia)
 Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akizungumza jambo wakati wa kikao cha kamati ya Uongozi kilicholenga kujadili na kupokea Shughuli za Mkutano wa kumi na Tatu wa Bunge pamoja na Mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano, Pia Kupokea hati ya dharura ya Muswada wa Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha wa Mwaka 2018 (The Microfinance Bill, 2018); kilichofanyika leo tarehe 5 Novemba 2018 katika ukumbi wa Spika Jijini Dodoma.

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akisisitiza jambo wakati wa kikao cha kamati ya Uongozi kilicholenga kujadili na kupokea Shughuli za Mkutano wa kumi na Tatu wa Bunge pamoja na Mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano, Pia Kupokea hati ya dharura ya Muswada wa Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha wa Mwaka 2018 (The Microfinance Bill, 2018); kilichofanyika leo tarehe 5 Novemba 2018 katika ukumbi wa Spika Jijini Dodoma. Wa kwanza kulia ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson na Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (wa pili kulia)
 Wajumbe wa Kamati ya uongozi kuanzia kushoto ni Mbunge wa Bukoba Vijijini, Mhe. Jason Rweikiza, Mbunge wa kibakwe, Mhe. George Simbachawene na Mbunge wa Jimbo la Chemba, Mhe. Juma Nkamia wakiwa katika kikao cha kujadili na kupokea Shughuli za Mkutano wa kumi na Tatu wa Bunge pamoja na Mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano, Pia Kupokea hati ya dharura ya Muswada wa Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha wa Mwaka 2018 (The Microfinance Bill, 2018); kilichofanyika leo tarehe 5 Novemba 2018 katika ukumbi wa Spika Jijini Dodoma. 
Wajumbe wa Kamati ya uongozi wakiwa katika kikao cha kujadili na kupokea Shughuli za Mkutano wa kumi na Tatu wa Bunge pamoja na Mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano, Pia Kupokea hati ya dharura ya Muswada wa Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha wa Mwaka 2018 (The Microfinance Bill, 2018); kilichofanyika leo tarehe 5 Novemba 2018 katika ukumbi wa Spika Jijini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages