LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 11, 2018

SERIKALI YAKITWAA KIWANDA CHA KUCHAKATA KOROSHO LINDI (BUKO)

 Mkuu wa Wilaya ya Lindi Ndg.Shaibu Issa Ndemanga (meza kuu kushoto), Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi Ndg.Rehema Madenge (meza kuu katikati) na Kaimu Msajili wa Hazina Ndg.Peter Gwagilo (meza kuu kulia) wakizungumza na timu ya wataalamu kutoka Ofisi ya Msajili wa Hazina na Ofisi ya Rais na Sekretarieti ya Mkoa wa Lindi (hawapo pichani) muda mfupi kabla ya Serikali kukitwaa Kiwanda cha Kuchakata Korosho Lindi (BUKO) mkoani. 
Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi Ndg.Rehema Madenge akizungumza na wataalamu kutoka Ofisi ya Msajili wa Hazina na Ofisi ya Rais (hawapo pichani) katika kikao cha awali cha mrejesho wa maamuzi ya utwaliwaji wa Kiwanda cha Kuchakata Korosho Lindi (BUKO) mkoani Lindi muda mfupi kabla ya Serikali kukitwaa.

Mkuu wa Wilaya ya Lindi mkoani Lindi Ndg.Shaibu Issa Ndemanga (kushoto), na Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi Ndg.Rehema Madenge (kulia) wakizungumza na wataalamu kutoka Ofisi ya Msajili wa Hazina na Ofisi ya Rais (hawapo pichani) katika kikao cha awali cha mrejesho wa maamuzi ya utwaliwaji wa Kiwanda cha Kuchakata Korosho Lindi (BUKO) mkoani Lindi.


Mkuu wa Wilaya ya Lindi Ndg.Shaibu Issa Ndemanga (meza kuu kushoto), Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi Ndg.Rehema Madenge (meza kuu katikati) na Kaimu Msajili wa Hazina Ndg.Peter Gwagilo (meza kuu kulia) wakizungumza na timu ya wataalamu kutoka Ofisi ya Msajili wa Hazina na Ofisi ya Rais na Sekretarieti ya Mkoa wa Lindi muda mfupi kabla ya Serikali kukitwaa Kiwanda cha Kuchakata Korosho Lindi (BUKO) mkoani Lindi.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages