LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 10, 2018

RAIS DK. MAGUFULI AKAGUA MAGARI YA JESHI YA KIKOSI CHA USAFIRISHAJI CHA 95KJ AMBAYO YANAWEZA KUTUMIKA KUBEBEA KOROSHO KATIKA MIKOA YA LINDI NA MTWARA IWAPO WANUNUZI WA KOROSHO HAWATANUNUA KOROSHO HIZO BAADA YA SIKU YA JUMATATU SAA KUMI JIONI.

 Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jaamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Tanzania CDF Jenerali Venance Mabeyo mara baada ya kukagua magari hayo ya Kikosi cha Usafirishaji cha 95KJ Temeke jijini Dar es Salaam.
 . Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jaamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimiana na Askari mbalimbali  wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika Kikosi cha Usafirishaji cha 95KJ Temeke jijini Dar es Salaam.
 Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jaamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Madereva wa Kikosi cha Usafirishaji cha Jeshi 95KJ ambao wapo tayari kutekeleza maagizo ya Serikali baada ya siku ya jumatatu saa 10 alaasiri iwapo Wanunuzi wa Korosho hawatanunua korosho zilizopo katika mikoa ya kusini.
 Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jaamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Tanzania CDF Jenerali Venance Mabeyo mara baada ya kukagua magari hayo ya Kikosi cha Usafirishaji cha 95KJ Temeke jijini Dar es Salaam.
 Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jaamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Tanzania Jenerali Venance Mabeyo wakielekea kwenye viwanja vya Kambi ya 95KJ kukagua magari ya Kikosi hicho ambayo yatatumika kubeba korosho katika mikoa ya Kusini iwapo Wanunuzi wa Korosho hawatatii agizo la Serikali ifikapo siku ya jumatatu saa kumi alaasiri.
 Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jaamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Madereva wa Kikosi cha Usafirishaji cha Jeshi 95KJ ambao wapo tayari kutekeleza maagizo ya Serikali baada ya siku ya jumatatu saa 10 alaasiri iwapo Wanunuzi wa Korosho hawatanunua korosho zilizopo katika mikoa ya kusini.

Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jaamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Askari mbalimbali  wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) hawaonekani (pichani) katika  Kambi ya Kikosi cha Usafirishaji cha 95KJ Temeke jijini Dar es Salaam. Rais Dkt. Magufuli ametoa maagizo kwa Kikosi hicho cha 95KJ kubeba Korosho zote zitakazo nunuliwa na Serikali iwapo Wanunuzi wa Korosho hawatatii agizo la Serikali ifikapo siku ya jumatatu saa kumi alaasiri.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages