LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 5, 2018

DKT. ABBASI AELEZEA MAFANIKIO YA SERIKALI YA AWAMU YA TANO KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITATU YA UTAWALA RAIS DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akizungumza na waandishi wa vyombo vya habari nchini kuhusu Mafanikio ya kijamii na kiuchumi yaliyofikiwa na Serikali ya Awamu ya Tano katika kipindi cha miaka mitatu madarakani (2015-2018). Mkutano huo umefanyika leo Jumatatu Novemba 5, 2018.(PICHA NA MAELEZO)


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages