LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 7, 2018

BINTI WA MIAKA 22, ANATAFUTWA BAADA YA KUPOTEA TANGU MWEZI JANA

"Habari za leo wandugu tunatoa taarifa ya kupotelewa kwa binti yetu  Elizabeth Peter Magali mwenye umri wa miaka 22, mkazi wa Mbezi Beach Going, Dar  es Salaam.

Alitoka Chuoni Mlimani tarehe 20/10 /2018 na kuaga anarudi nyumbani  lakini mpaka leo hajulikani alipo.

Tunaomba ushirikiano kwa yeyote atakae muona atoe taarifa kituo cha Polisi kilicho karibu nae. Au apige simu hizi:- 0784315485 /0717353515."

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages