LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 26, 2018

SAMIA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA LAMI YA MKURANGA - KISIJU

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (aliyevaa shati nyeupe) akifafanua jambo kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (wa tatu kushoto) kuhusu maendeleo ya ujenzi wa barabara inayojengwa kwa kiwango cha lami ya Mkuranga – Kisiju wakati wa ziara yake mkoani Pwani

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisisitiza jambo kwa Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (mwenye shati nyeupe) wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara inayojengwa kwa kiwango cha lami ya Mkuranga – Kisiju, mkoani Pwani


Kaimu Meneja wa TANROADS Mkoa wa Pwani Mhandisi Martin Wambura (wa kwanza kushoto) akifafanua jambo kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (wa kwanza kulia) wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara inayojengwa kwa kiwango cha lami ya Mkuranga – Kisiju mkoani Pwani

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages