LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 9, 2018

RAIS MAGUFULI AMEKUTANA NA MKURUGENZI MKAZI WA BENKI YA DUNIA

Benki ya Dunia inatekeleza miradi ya maendeleo yenye thamani ya shilingi Trilioni 10.2 nchini Tanzania na sasa inaandaa miradi mingine katika sekta ya elimu itakayogharimu shilingi Trilioni 1.4 kabla ya kufika Desemba 2018. 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages