Daktari wa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Theophylly Mushi akipokea zawadi kwa niaba ya Daktari bora wa mwezi Septemba Sosteines Tibaijuka (hayupo pichani) kutoka kwa Meneja wa kampuni ya dawa za binadamu ya Samiro, Masila Mani wakati wa hafla fupi ya utoaji zawadi kwa wafanyakazi bora iliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo.
Meneja wa kampuni ya dawa za binadamu ya Samiro, Masila Mani akimkabidhi zawadi ya mfanyakazi bora wa mwezi Septemba Mkuu wa Kitengo cha Dawa wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Mfamasia Welu Kaali wakati wa hafla fupi ya utoaji zawadi kwa wafanyakazi bora Iliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakifuatilia kwa ukaribu hafla fupi ya utoaji zawadi kwa wafanyakazi bora wa mwezi Septemba iliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo.
(PICHA NA JKCI)
Your Ad Spot
Sep 15, 2018
Home
Unlabelled
WAFANYAKAZI BORA WA MWEZI SEPTEMBA WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAPEWA ZAWADI
WAFANYAKAZI BORA WA MWEZI SEPTEMBA WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAPEWA ZAWADI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇