LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 25, 2018

SERIKALI YA UGANDA YAGAWA FEDHA KWA VIJANA WA MITAANI ILI KUWASHAWISHI WASIFUATE MKUMBO WA SIASA

Serikali ya Uganda chini ya Rais Museven imeanzisha kampeni kugawa fedha za mkopo wa riba nafuu kwa vijana sambamba na kuwataka wasishawishiwe na kimbunga kipya cha kisiasa nchini.
Kwa mujibu wa viongozi wa serikali, fedha hizo zitasaidia kuwaokoa vijana hao na hali mbaya ya kimaisha, ambapo hawatoweza kuathiriwa na wimbi hilo la kisiasa.

Bobi Wine, mbunge wa upinzani ambaye hivi karibuni aliibua mjadala mkubwa wa kisiasa nchini Uganda

Hayo yanajiri ambapo hivi karibuni Uganda ilishuhudia matukio mengi ya kisiasa katika kipindi cha uchaguzi mdogo uliopita na kupelekea wabunge kadhaa wa upinzani kutiwa mbaroni.
Kwa maelezo zaidi tujiunge na mwandishi wetu wa jijini Kampala Kigozi Ismail kwa taarifa kamili……./

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages