LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 14, 2018

MIGODI YA BUZWAGI NA BULYANHULU YALIPA MILIONI 771 KWA AJILI YA USHURU WA HUDUMA KAHAMA MJI NA MSALALA

 

Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Dhahabu Acacia kupitia migodi yake ya Buzwagi na Bulyahulu iliyopo wilayani Kahama mkoani Shinyanga, imekabidhi hundi zenye thamani ya shilingi milioni 771 kwa halmashauri ya Kahama Mji na Msalala. 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages