Ikiwa leo September 15, 2018 ni siku ya kuzaliwa Dogo Janja, siku hiyo muhumu haijamuendea vizuri msanii huyo.
Dogo Janja amezidiwa kiasi cha kulazwa katika kituo cha Afya cha AAR Sinza, Dar es Salaam kwa matibabu kutokana na kusumbuliwa na kifua kutoka siku ya jana
Kwa sasa Dogo Janja anaendelea vizuri na matibabu kwenye kitu hicho cha afya ambapo amelazwa kwa ajili ya uangalizi zaidi wa kimatibabu.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇