Wananchi wakiangalia ajali ya Basi la mwendo kasi lenye namba za usajili, T 967 DGV iliyohusishwa na Gari lenye namba za usajili , T 584 DLA kwenye makutano ya Barabara ya Morodoro na Umoja wa Mataifa eneo la Faya Jijini Dar es Salaam, ambapo mwenyegari dogo inasemekana alikuwa akielekea Hospitali ya Taifa Muhimbili akimpeleka mgonjwa na wote wakitokea upande mmoja wa Faya na basi la mwendokasi likitokea Gerezani kueleke Ubungo (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Askari wa Usalama Barabarani (kulia) akiangalia ajali hiyo akiwa na wananchi wakiangalia ajali ya Basi la mwendo kasi lenye namba za usajili, T 967 DGV iliyohusishwa na Gari lenye namba za usajili , T 584 DLA kwenye makutano ya Barabara ya Morodoro na Umoja wa Mataifa eneo la Faya Jijini Dar es Salaam
Askari wa Usalama Barabarani akiyaruhusu magari kuendelea na safari baada ya kupatikana njia ya kupita
Askari wa Usalama Barabarani (mwenye kofia nyeupe) akipiga simu kuomba gari la maalumu ya kuvuta gari lenye namba za usajili T 584 DLA lililokuwa limegonga Basi la Mwendokasi eneo la Faya baada ya Deleva huyo kupita njia isiyosahihi
Pichani ni Gari lenye namba za Usajili T 584 DLA baada ya ajali kutokea eneo la Faya
Basi la mwendoa kasi likiwa katika muonekano huo baada ya kugongwa
Your Ad Spot
Sep 10, 2018
Home
Unlabelled
BASI LA MWENDOKASI LAPATA AJALI
BASI LA MWENDOKASI LAPATA AJALI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇