Wananchi mbalimbali wa Kijiji cha Njoge wakimsikiliza kwa makini Mheshimiwa Spika Job Ndugai ambaye alifanya ziara katika Kijiji hicho mapema Agosti 9, 2018.
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa akihutubia jukwaani wananchi wa kijiji cha Njoge ili kusikiliza kero zao mbalimbali. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇