Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni tanzu ya TANESCO ya ETDCO wakitandandaza waaya wa umeme ardhini kwa ajili ya kukpitisha umeme katika maeneo ya viwanjwa vya ndege vya Matambwe na eneo la mradi la Stiglers wilayani Rufiji mkoani Pwani jana.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali akiangali waya wa umeme unaopitishwa ardhi kwa ajili ya kukpitisha umeme katika maeneo ya viwanjwa vya ndege vya Matambwe na eneo la mradi la Stiglers wakati wa ziara ya Mawaziri na Makatibu Wakuu wa wizara zinazoshiriki katika utekelezaji wa mradi wa Rufiji Hydropower Project jana wilayani Rufiji mkoani Pwani. Nyuma yake ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara hiyo Rodney Thadeus.
Baadhi ya Makatibu Wakuu na watendaji kutoka Wizara mbalimbali wakiwa katika ziara ya kutembelea na kukagua maendeleo ya utekelezaji wa hatua za maandalizi ya wa mradi wa Rufiji Hydropower Project jana wilayani Rufiji mkoani Pwani.
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu na baadhi ya Makatibu Wakuu na watendaji kutoka wizara mbalimbali wakiwa katika ziara ya kutembelea na kukagua maendeleo ya utekelezaji wa hatua za maandalizi ya wa mradi wa Rufiji Hydropower Project jana wilayani Rufiji mkoani Pwani.
Baadhi ya Mawaziri wa Wizara zinazoshiriki katika utekelezaji wa mradi wa uzalishaji umeme wa Rufiji Hydropower Project wakitazama eneo la bonde la mto Rufiji (Stiglers Gorge) patakapo jengwa mradi huo jana wilayani Rufiji mkoani Pwani.
Baadhi ya Makatibu Wakuu wa Wizara zinazoshiriki katika utekelezaji wa mradi wa uzalishaji umeme wa Rufiji Hydropower Project wakiwa juu ya kingo za eneo la bonde la mto Rufiji (Stiglers Gorge) patakapo jengwa mradi huo jana wilayani Rufiji mkoani Pwani. (Picha zote: MAELEZO).
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇