LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 6, 2018

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WA NCHI MBALIMBALI IKULU, JIJINI DAR


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na balozi wa Canada nchini aliyemaliza muda wake Mhe. Ian Myles walipokutana Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2018.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na balozi wa Ubelgiji nchini aliyemaliza muda wake Mhe. Paul Cartier walipokutana Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2018.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa China Mhe. Wang Ke walipokutana kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na Balozi wa Burundi nchini Mhe. Gervais Abayeho aliyemsindikiza Mjumbe maalumu wa Rais wa Burundi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Ezechiel Nibigira Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na mjumbe maalumu wa Rais wa Burundi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Ezechiel Nibigira Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na mjumbe maalumu wa Rais wa Burundi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Ezechiel Nibigira aliyefika na Balozi wa Burundi nchini Mhe. Gervais Abayeho na afisa mwandamizi wa Ubalozi Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2018. Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages