Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi ya Msakuzi, Shahiri Mshana (wa pili kulia) akimkabidhi cheti, Angelo Kilufi wakati wa Mahafali ya 4, ambapo wanafunzi 45 wa Darasa la Saba wanaotarajia kufanya mitihani ya kumaliza Darasa la Saba hafla hiyo iliyofanyika katika Shule ya Awali na Msingi Mont Ltd iliyopo Mbezi kwa Msumi. kulia ni Meneja wa Shule hiyo, Zavery Nyambalafu na kuanzia kushotoni Mwalimu msaidizi, Fed Nsekela, Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Johanness Mwima, Mkurugenzi wa Shule, Wiliam Nyambalafu, Mkurugenzi wa Shule Deogratius Lyimo na Mjumbe wa shule hiyo, Mohamedi Makoko
Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Msakuzi, Shahiri Mshana ambaye ni mgeni rasmi (wa nne kulia) akiwa na meza kuu wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kwa Mahafali hayo
Wanafunzi wanaotarajia kumaliza Darasa la Saba wakiwapungia mikono wazazi wao wakati wa utambulisho
Wazazi wa wanafunzi kwa umakini wakisikiliza
Wazazi wakifatilia kwa umakini
Meneja wa Shule ya Mont Ltd, Zavery Nyambalafu akizungumza jambo katika hafla hiyo
Picha ya pamoja Wazazi na Wanafunzi hao
Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Msakuzi , Shahiri Mshana (kulia) akizungumza na wanafunzi na wazazi wa shule ya Awali na Msingi Mont Ltd iliyopo Mbezi wakati wa Mahafali ya 4 yaliyofanyika Spt. 25, 2018 katika shule hiyo
Darren Fortunatus (kulia) na Angelo Kilufi wakimlisha kipande cha keki mama mzazi wa Angelo ambayeni Afisa Muuguzi katika Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI), Zainab Kilufi
Darren Fortunatus (kulia) na Angelo Kilufi wakimlisha kipande cha keki mama mzazi wa Darren Fortunatus, Magreth Mjengwa
Darren Fortunatus (kulia) na Angelo Kilufi wakimlisha kipande cha keki Baba wa Ubatizo wa Angelo Kilufi, Asifa wa Ubalozi wa Ireland,Hrry John
Darren Fortunatus (kulia) na Angelo Kilufi wakimlisha kipande cha keki baba mzazi wa Angelo, Joseph Kilufi ambaye ni Afisa Tehama katika Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI)
Darren Fortunatus (kulia) na Angelo Kilufi wakimlisha kipande cha keki Mwalimu wa Taaluma Shule ya Awali na Msingi ya Mont Ltd, Kashuloya Lingoine. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA).
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇