LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 18, 2018

SPIKA NDUGAI AMJULIA HALI WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII KATIKA TAASISI YA MIFUPA (MOI) ALIKOLAZWA KWA AJILI YA MATIBABU

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt. Khamis Kigwangalla baada ya kumtembelea kwa lengo la kumjulia hali katika Taasisi ya Mifupa (MOI) Muhumbili alikolazwa kw ajili ya kupatiwa matibabu baada ya kupata ajali ya gari, pembeni ni Katibu wa Bunge, Ndugu. Stephen Kagaigai

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiwa ameambatana na Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai na baadhi wa Waheshimiwa Wabunge wamemtembelea Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt. Khamis Kigwangalla kwa lengo la kumjulia hali katika Taasisi ya Mifupa (MOI) Muhumbili  alikolazwa kwa ajili ya kupatiwa matibabu baada ya kupata ajali ya gari
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt. Khamis Kigwangalla baada ya kumtembelea kwa lengo la kumjulia katika Taasisi ya Mifupa (MOI) Muhumbili alikolazwa kw ajili ya kupatiwa matibabu baada ya kupata ajali ya gari

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages