LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 13, 2018

MBUNGE WA LIWALE KWA TIKETI YA CUF NAYE ATIMKIA CCM LEO

Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally akizungumza mda mfupi kabla ya aliyekuwa Mbunge wa CUF katika jimbo la Liwale mkoani Lindi Zuberi Kuchauka (kulia), kutangaza kukihama Chama cha Civic United (CUF), na kujiunga na CCM, leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole.
Aliyekuwa Mbunge wa CUF katika jimbo la Liwale mkoani Lindi, Zuberi Kuchauka (katikati), akitangaza kukihama Chama cha Civic United (CUF), na kujiunga na CCM, leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally na kulia ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages