LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 20, 2018

MBOWE AMTUMIA SALAMU ZA RAMBIRAMBI RAIS MAGUFULI KUFUATIA KIFO CHA DADA YAKE

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amemtumia rambirambi Rais John Magufuli kufuatia kifo cha dada yake, Monica.

Monica alifariki jana asubuhi katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini Mwanza alikokuwa amelazwa kwa matibabu zaidi.

Mbowe pia ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni ameandika katika ukusara wake wa Twitter akisema:

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages