LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 20, 2018

KATIBU MKUU JUMUIYA YA WAZAZI TANZANIA ERASTO SIMA AFUNGUA KONGAMANO LA BARAZA KUU LA JUMUIYA HIYO WILAYA YA UBUNGO KUHUSU MALEZI NA MAADILI

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Erasto Sima akifungua rasmi Kongamano la Baraza kuu la Jumuiya hiyo Wilaya ya Ubungo, kuhusu malezi na maadili lililofanyika Jana, Sinza jijini Dar es Salaam.

Wajumbe wakiwa ukumbini
Wajumbe wakiwa ukumbini
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Erasto Sima akisalimia viongozi baada ya kuwasili kwa ajili ya kufungua rasmi Kongamano la Baraza kuu la Jumuiya hiyo Wilaya ya Ubungo, kuhusu malezi na maadili lililofanyika Jana, Sinza jijini Dar es Salaam.
Vijana wa Chipukizi wa CCM wakiongoza uimbaji wa wimbo wa Taifa
Meza kuu wakishiriki kuimba wimbo huo wa Taifa

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages