Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula, alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kuongiza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashuri Kuu ya CCM, leo. Katikati no Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). John Pombe Joseph Magufuli akiwasili katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba kwa ajili ya kuendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. John Pombe Joseph Magufulii akiendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, katika chumba cha mikutano kilichopo Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Dar es Salaam, leo.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇