LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 11, 2018

WAZIRI MWAKYEMBE AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIUNDOMBINU YA VIWANJA VYA MICHEZO VYA MICHEZO MKOANI MANYARA

 Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akivalishwa skafu na watoto wa Skauti wa Shule ya Sekondari ya Singe ikiwa ni ishara ya ukaribisho, katika ziara ya kutembelea viwanja vya michezo vilivyopo katika Halmashauri ya Mkoa wa Manyara Julai 10, 2018 . 
 Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (mwenye miwani) akimsikiliza Mwalimu wa Michezo wa Shule ya Sekondari ya Singe (Mwenye koti la kijivu) Bw. Amos Sungi alipotembelea viwanja vya michezo vilivyopo katika shule hiyo  Julai 10, 2018 Mkoani Manyara.
 Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (wa tatu kushoto) akikagua kiwanja cha mpira wa miguu kilichopo katika shule ya Sekondari ya Singe alipokuwa katika ziara ya kukagua viwanja vya michezo katika Mkoa wa Manyara.
 Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiongea na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Singe (hawapo katika picha) alipofanya ziara ya kuwatembelea miundo mbinu ya viwanja katika shule hiyo Mkoani Manyara.
 Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akionyeshwa ramani ya kiwanja cha mpira na Mpima Ardhi wa Halmashauri wa Mji wa Manyara Bw. Iddi Lulamia  wakati wa ziara ya kukagua miundo mbinu ya michezo katika Mkoa wa Manyara Julai 10, 2018 .  
 Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akiongea na Waalimu wa Michezo  kutoka katika Mikoa mbalimbali ya Tanzania ambao alikukuta katika kiwanja cha Kwaraa wakipata mafunzo ya muda mfupi, Mkoani Manyara
 Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Waalimu wa Michezo kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania,  Mkoani Manyara.
Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Waalimu wa Michezo kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania, leo Mkoani Manyara.( Picha na Lorietha Laurence-Manyara,Arusha)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages